Mkutano kati ya waandishi wa habari wa Zanzibar na Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Othman Masoud Othman, uliokuwa ufanyike leo Mjini Unguja ili kupata kweli kuhusu kujiuzulu kwa Mwanasheria Mkuu huyo katika Kamati a Uandishi wa Katiba ya Bunge Maalum la Katiba umeshindwa kufanyika.
Habari kutoka Mjini Unguja, zinasema waandishi wa habari ambao walikusanyika katika Ofisi ya Mwanasheria Mkuu huyo, walielezwa kwamba Othman hakuwa tayari kuzungumzia suala hilo kwa kuwa alikuwa na kikao kingine cha ndani na kuruhusu vyombo vya habari vya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar pekee kuzungumza naye.
Hivi karibuni, baadhi ya vyombo vya habari viliripoti kuwa Mwanasheria Mkuu huyo alijiuzulu katika Kamati ya Bunge.
-- Habari kutoka Mjini Unguja, zinasema waandishi wa habari ambao walikusanyika katika Ofisi ya Mwanasheria Mkuu huyo, walielezwa kwamba Othman hakuwa tayari kuzungumzia suala hilo kwa kuwa alikuwa na kikao kingine cha ndani na kuruhusu vyombo vya habari vya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar pekee kuzungumza naye.
Hivi karibuni, baadhi ya vyombo vya habari viliripoti kuwa Mwanasheria Mkuu huyo alijiuzulu katika Kamati ya Bunge.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments