[wanabidii] KITABU CHA DK. MVUNGI KINAPATIKANA BURE LHRC

Monday, September 29, 2014

KITABU CHA DK.MVUNGI KINAPATIKANA  BURE LHRC
Na Happiness Katabazi

WANAOKITAKA  KITABU CHA MAISHA YA MAREHEMU DK.SENGONDO  MVUNGI KILICHOCHAPISHWA NA LEGAL HUMAN RIGHT CENTER(LHRC), WAFIKE LIBRALI YS MAKAO MAKUU YA OFISI ZA LHRC - KIJITONYAMA DAR ES SALAAM,KUANZIA SAA MBILI ASUBUHI HADI SAA 11 JIONI. KITABU HICHO HAKIUZWI KINATOLEWA BURE KWA WANANCHI.

Sent from my iPad

Share this :

Related Posts

0 Comments