Wadau,
Mwenye uelewa wa hii biashara/service tafadhali naomba anipatie elimu maana natamani sana kuwekeza katika kutoa huduma hii. Naamini jukwaa hili watu si wachoyo wa kuelimishana
Wenu mtii,
Lucas
Sent from Samsung Mobile
Daily East African News Updates
0 Comments