CHADEMA NA HOJA, KUPANDA NA KUSHUKA
Chadema ilikuwa na wabunge watano tu wa kuchaguliwa 2005 - 2010, ndipo wakati ilijijenga na kupata umaarufu kwa kasi kubwa mno hadi kuwa tishio kwenye Urais 2010 na pia kuchukua viti vingi vya ubunge, i think ongezeko lilikuwa zaidi ya 500%. Wengi tunaelewa kuwa mafanikio haya na kupanda huku kwa Chadema kuliletwa na hoja (issues) zilizojengwa na wabunge wale (2005-2010) bungeni na nje ya bunge.
Mtakumbuka kuwa hoja ya kwanza kubwa kujengwa na Chadema na kugusa hisia za watu wengi ilikuwa ni ile ya kusainiwa mkataba wa mgodi wa Buzwagi nje ya nchi iliyoibuliwa na Comrade Zitto Zuberi Kabwe. Hoja ya Pili ilikuwa ya EPA kinara wake alikuwa Dr. Wilbroad Peter Slaa. Ziko hoja nyingine kadhaa zilifuata, mfano hoja za Comrade Halima Mdee kwenye masuala ya ardhi. Kimsingi hivyo ndivyo Chadema ilivyopata umaarufu wake. Kwa HOJA (ISSUES) na watanzania wengi wakavutiwa na kujiunga.
Ili Chadema iendelee kuwa juu na kukubalika ni lazima hali ile ya kujenga hoja (issues) iliyoipeleka juu na kuifanya ikubalike iwe maintained.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments