KELELE za abiria katika basi la kampuni ya Mohamed Trans lenye usajili namba T 879 ASU lililokuwa likitoka mjini Dodoma kuelekea Mwanza ziliwezesha kuokoa shari ambayo ingelitokea kutokana na basi kuendeshwa na tairi pungufu kufuatia mojawapo kupasuka.
Tairi la nyuma lilipasuka eneo inapokatiza reli baada ya kupita mji wa Bahi.
Pamoja na dereva kusikia kupasuka kwa tairi aliendelea na safari kiubishi akifukuzana na basi la Musoma la Bunda Trans.
Lakini haikupita muda tairi likaanza kutoa harufu kali na basi kuanza kupoteza balansi na watu wakaanza kupiga kelele.
Ni kelele hizo zilimfanya dereva asimame na tairi kubadilishwa.
Abiria walisikika wakimtolea maneno makali dereva.
Source:Abiria kwenye basi
-- Tairi la nyuma lilipasuka eneo inapokatiza reli baada ya kupita mji wa Bahi.
Pamoja na dereva kusikia kupasuka kwa tairi aliendelea na safari kiubishi akifukuzana na basi la Musoma la Bunda Trans.
Lakini haikupita muda tairi likaanza kutoa harufu kali na basi kuanza kupoteza balansi na watu wakaanza kupiga kelele.
Ni kelele hizo zilimfanya dereva asimame na tairi kubadilishwa.
Abiria walisikika wakimtolea maneno makali dereva.
Source:Abiria kwenye basi
http://lukwangule.blogspot.com/2014/09/abiria-wamtoa-shoo-dereva-wa-mohamed.html
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments