Chama cha Wanasheria Zanzibar kitafanya Mkutano na Waandishi wa Habari kesho tarehe 27-08-2014 saa nne asubuhi katika Ukumbi wa Watu wenye Ulemavu uliopo Wailes, Zanzibar kuzungumzia kadhia ya Wazanzibari wanaokamatwa, kusafirishwa na kufunguliwa kesi nje ya Zanzibar na mambo mengineyo yaliyojitokeza kuhusiana na kadhia hii.
lazima tuheshimiane sio mmoja kumtawala mwenzie tena kwa mabavu kila mmoja ashike na la kwake
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments