[wanabidii] Vijana wa CHADEMA wadaiwa kumpiga mjumbe wa kundi la 201 (la Bunge la Katiba)

Monday, August 11, 2014

Mjumbe wa bunge maalum la katiba kutoka kundi la 201,Thomas Magnus Mgoli amelazwa katika hospital ya mkoa Dodoma baada ya kupigwa na wanaodaiwa kuwa 'vijana ambao mashabiki wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)'.

Akizungumza na FikraPevu akiwa kitandani kwake, Mgoli amesema alishambuliwa na vijana hao jana usiku majira ya saa moja eneo la area D anakoishi.

Ameifahamisha FikraPevu kuwa vijana hao hukutana nao mara kwa mara anapokwenda dukani na huzungumzia masuala ya bunge hilo, lakini hiyo jana walimshambulia kwa kumuambia kuwa yeye ni CCM.

mjumbe-201

Pichani waziri mkuu aliyejiuzulu na mbunge wa Monduli Mh. Edward Lowassa akimjulia hali Mh Mgoli hospitalini hapo, wote wako kamati namba 12.

http://www.fikrapevu.com/vijana-wa-chadema-wadaiwa-kumpiga-mjumbe-wa-kundi-la-201-la-bunge-la-katiba/

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments