[wanabidii] URAIS 2015 - UPUUZI WA FREEMAN AIKAELI MBOWE

Sunday, August 03, 2014

URAIS 2015 – UPUUZI WA FREEMAN AIKAEL MBOWE

-         Ana undugu wa karibu na Daudi Balali aliyekuwa gavana wa benki kuu ya Tanzania na kuondoka kwa kashfa ya EPA .

-         Mke wa Daudi Balali , Anna Muganda ni Dada wa Emmanuel Muganda ambaye amemuoa dada wa Freeman Mbowe – Hapa wanabidii mnaona jinsi Emmanuel Muganda anavyomtetea Mbowe

-         Amezaa watoto 2 nje ya ndoa na mbunge wa viti maalum CHADEMA , Joyce Mukya wa Arusha .

-         Watoto wake wanasoma afrika kusini .

-         Alifeli mtihani wa kidato cha 6

-         Alifeli masomo yake ya chuo katika chuo cha HULL nchini uingereza .

-         Bado anadaiwa na NSSF Zaidi ya Mil 100

-         Mwaka 2005 aligombea urais na kupata asilimia 5 ya Kura zote , Kikwete alipata zaidi ya asilimia 80 .

-         Ndio mhusika mkuu wa kunyofoa vipengele vya Ukomo wa Madaraka Katika katiba ya CHADEMA .

-         Ugomvi wake na Zitto Kabwe ulisababisha Kumtumia Kijana Ben Saanane kumpelekea kitu kinachosadikiwa kama sumu ili ammalize Zitto .

-         Haishi nyumba moja ya Mkewe Dr Lilian Mtei kutokana na Kuzaa nje ya Ndoa na mbunge wa Viti maalum , Joyce Mukya .

-         Ana majumba na mali nchi za nje zilizotokana na Nafasi yake ndani ya CHADEMA na Kama Mkuu wa KUB.

-         Ametumia Ubunge na nafasi yake kukwepa kodi nyingi za serikali kwa faida zake za Kibiashara .

-         Gari lake liliwahi kukuamatwa Mjini Mombasa kwa makosa mbalimbali likiwa na namba za Serikali KUB .

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments