Wanabodi je kuna ukweli wowote juu ya hili?
Kwamba hospitali ya Temeke imepokea mgonjwa anaye sadikiwa kuwa ana virusi vya EBOLA, mgonjwa katoka west Africa.
Huu ugonjwa ni hatari kiasi cha kwamba natetemeka kila ninaposikia ukitajwa.
Mwananchi wa kawaida.
--
Sent from myMail app for Android
0 Comments