Mwenyekiti, itakuwa vema ukaweka wazi kuhusu mgongano wa maslahi. Kuna wakati ulituoneshaga passport yako ya Sweden. Kwa hiyo weka wazi kwanza kama wewe bado ni raia wa Sweden, na imekusaidiaje, na kwa sheria za Sweden vipi unawajibikaje na pale ikitokea mgongano kati ya sheria ya Sweden na ya Tanzania ipi itakayotumika.
Mfano Marekani mtu mgeni (yaani mfano Mtanzania) anapochukua uraia wao analazimika kula kiapo cha utiifu kwa Marekani tu, na kukana wajibu wowote kwa dola zinginezo isipokuwa Marekani.
Kwa hiyo ni wazi kwamba huyu mtu akiendelee kujiita Mtanzania ni mnafiki.
Kiapo hicho kiko hapa: http://www.uscis.gov/.../naturalization-oath-allegiance..
-- Mfano Marekani mtu mgeni (yaani mfano Mtanzania) anapochukua uraia wao analazimika kula kiapo cha utiifu kwa Marekani tu, na kukana wajibu wowote kwa dola zinginezo isipokuwa Marekani.
Kwa hiyo ni wazi kwamba huyu mtu akiendelee kujiita Mtanzania ni mnafiki.
Kiapo hicho kiko hapa: http://www.uscis.gov/.../naturalization-oath-allegiance..
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments