[wanabidii] KUNA SIRI GANI IMEFICHWA NA WAANDAAJI WA RASIMU YA KATIBA ?

Monday, August 04, 2014
Hivi jamani naomba mnisadie jambo moja. Kuna siri gani ambayo imefichwa na hawa waandaaji wa rasimu ya katiba maana naona wanatumia nguvu kubwa kuwaambia wabunge wa bunge maalumu wasimamie rasimu waliyopewa? Wanaogopa nini wabunge kuchambua vifungu vya katiba? Maana hili bunge liliundwa kwa misingi ya kujadili na kupitisha kisha ipelekwe kwa wananchi. Bila bunge kujadili na kupitisha katu haiwezi kufika kwa wananchi kwa ajili ya kupigiwa kura. Hivyo tume walishamaliza kazi yao na ilishavunjwa kwa mujibu wa sheria hivyo wakae kimya waache bunge maalumu lifanye kazi yake!

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments