[wanabidii] CHADEMA YAANZA KUTEKA NA KUSHAMBULIA WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA

Monday, August 11, 2014
CHADEMA WASHINDWA KUJENGA HOJA BUNGE LA KATIBA,SASA WAANZA KUWATEKA NA KUSHAMBULIA WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA!!!! Chadema ambao ndio waasisi wakuu wa UKAWA, baada ya kuwashawishi wajumbe wa CUF na NCCR-MAGEUZI na kuunda UKAWA.Baadae kundi hilo lilishindwa kujenga hoja na kukimbia nje ya bunge la katiba. Sasa vijana wa chadema na Red Brigade wameanza kuwateka na kuwashambulia wajumbe waliobaki wanajadili katiba mpya ambao kamwe haiwezi kupatikana,bali watanzania tunatarajia kupata bora katiba. Chadema chama ambacho kimekuwa kinaratibu matukio mbali mbali ya ugaidi kama vile ulipuaji wa mabomu, kumwagia watu tindikali na kuwateka watu na kuwashambulia vibaya na kupoteza maisha yao. Vijana wa Chadema wa Red Brigade sasa wamezagaa katika mji wa Dodoma na wameanza kuwashambulia wajumbe wa Bunge la Katiba.Hivi karibuni wamemvamia mjumbe wa Chama cha ADC na kumshambulia vibaya.Hivyo serikali iakikishe inaimarisha ulinzi katika mji wa DODOMA ili kukabiliana na magaidi wa Chadema wa Red Brigade waliosambazwa kwa ajili ya kuwashambulia wajumbe wa Bunge la Katiba.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments