ndg wanabidii
mtu kuturetea hoja kuwa rais ajaye anafaa kuwa rais , ni hoja ya kipuuzi ambayo haipaswi hata kupewa kipambele kwenye nchi ya kidemokrasia kama ya kwetu.
Hatuwezi kumchagua Rais kwa Ujana wake, Uzee wake, udini wake, ukanda wake ,hizo sio sifa anazostali rais wetu.
sizani kama matatizo ya taifa hili yametokana na kuwepo kwa viongozi waliokosa sifa hizo????!!!!!!
labda niwambie kuwa asilimia 50 ya halamashauri nchini zinaongozwa na Mameya au wenyeviti ikiwemo Ilala ambao ni vijana chini ya miaka 35, ikiwemo Tarime na Ilala sasa nipe tafauti na zile halmashuri au majiji yanayoongozwa na wazee, pia usisahau bunge la jamhuri nusu ya wabunge ni vijana nipe tafauti yake na bunge la zamani
0 Comments