[wanabidii] TAHADHARI - NAMBA YA BAKARI MACHUMU IMETEKWA

Tuesday, July 22, 2014
Kuna mtu amejitambulisha kama Bakati Machumu , mhariri mtendaji wa Mwananchi , kasema yuko kwenye kikao na simu yake inashida anahitaji nimtumie shilingi 50000 , amenipa namba ya mpwa wake ili niweze kuingiza hela hizo .

Huu ni utapeli , nimetuma ujumbe huu ili kama bakari machumu ataupata ajue nini cha kufanya kuhusu mawasiliano yake na atahadharishe jamaa zake wengine .

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments