Ukatili wa majumbani ni aina ya tabia inayotumika kujenga uwezo wa mtu mmoja kummiliki mwingine kwa kutumia vitisho na woga, ukatili wa majumbani aghalabu hutokea kwa watu walio na uhusiano wa kimapenzi na hata wale wanaoishi nyumba moja
Magomvi ya nyumbani pamoja na mambo mengine huhusisha kipigo cha wazi au cha kisiri, kuitana majina yasiyofaa, kutumia fedha kwa madhumuni ya kumiliki wengine, kutumia lugha ya matusi, kubaka ndani ya nyumba, kuwamiliki watoto, kutenga na kutumia vitisho;
HEBU NA WEWE ONGEZA YA KWAKO MOJA HAPO CHINI;
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments