Hapa nimepata mwenendo wa mchezo (mpira wa miguu) unavyochezwa kwa wenzetu. Kuna BC na MUN vile vile Bayern na pia ilivyokuwa katika Kombe la Dunia kwa baadhi ya timu. Wenzetu wameweza kufuatilia na kuona movements zote za mpira. Walikopatia pass ni BLUE walikokosa ni RED. Je utaalam wetu unaweza kubaini mchezo wa Yanga au Simba?
Mwalimu wa Michezo wa Switzerland kanipa picha hizi. Naomba waalimu wa michezo wajifunze kitu
Kessy
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments