[wanabidii] MWENYEKITI KANDA YA MAGHARIBI CHADEMA BW. SHABANI MAMBO AJIUNGA ACT-TANZANIA

Saturday, July 19, 2014
MWENYEKITI KANDA YA MAGHARIBI
CHADEMA BW. SHABANI MAMBO ABWAGA
MANYANGA NA KUJIUNGA ACT-TANZANIA;::
Maamuzi kandamizi yaliyofanywa na Chadema
pasipozingatia katiba ya chama na kumtungia
Zitto Makosa na kumvua nyazifa zake zote,Sasa
maamuzi hayo yameanza kukitafuna chama
hicho.Lengo la maamuzi hayo ilikuwa homa ya
uchaguzi ndani ya chama hicho ili kulinda
maslahi ya Mwenyekiti Mbowe ili aendelehe
kukiongoza chama hicho.Mwenyekiti wa Kanda
ya Magharibi Bw. SHABANI Mambo ametangaza
kukihama Chadema na kujiunga na Wazalendo
wa ACT-TANZANIA. Kanda ya Magharibi
inaundwa na mikoa ya Tabora, Katavi na
Kigoma. SHABANI Mambo ambaye pia ni
Mjumbe wa Kamati Kuu Chadema Taifa
Kiukweli Chadema iko hali Mbaya na huu ndilo
anguko la Chadema 2014-2015.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments