JHIKOMAN ATEMBELEA SHULE YA MUZIKI YA REUTLINGEN,UJERMANI
-- WANAFUNZI NA WAKUU WA SHULE WAHIDI KUTEMBELEA BAGAMOYO ! KILA WAKATI
Tubingen,Ujerumani,
Mwanamuziki maarufu wa Reggae barani Afrika Jhikoman ambaye yupo katika ziara ya kikazi barani ulaya,juzi alitua katika mji wa Tubingen,Ujerumani kwa ajili ya kushiriki katika maonyeso makubwa 5th International African Festival Tubingen 2014,
ambako amealikwa na shirika la Afrikaktiv Org. Jhikoman amelamba deal la mkataba wa kudumu wa kutumbuiza katika onyesho hilo,pia amepata nafasi za kualikwa na kutembelea miradi mbali mbali ya utamaduni nchini ujerumani zikiwemo shule na tahasisi za muziki,ambazo amekuwa kivutio kikubwa na tahasisi hizo zimehaidi
kwenda Bagamoyo kwa kupata ujuzi zaidi wa kimuziki na utamaduni .
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments