REGGAE AMBASSODOR JHIKOMAN AFUNIKA KWA KISHINDO
-- ONYESHO LA 5th INTERNATIONAL AFRICAN FESTIVAL TUBINGEN,UJERUMANI
Tubingen,Ujerumani,
Mfalme wa muziki wa reggae barani Afrika Jhikoman alifanikiwa kufunika kwa kishindo kikubwa katika maonyesho ya 5th International African festival Tubingen, siku ya jumapili 20 julai 2014 mjini Tubingen,Ujerumani.
Katika maonyesho hayo mwanamuziki Jhikoman kwa sasa ndiye nyota inayong'aa kutoka Afrika katika muziki wa reggae aliuthiirishia ulimwengu kuwa Tanzania ni moto wa kuotea mbali kimuziki ,akishagiliwa na umati wa maelefu ya washabiki waliofika katika maonyesho Jhikoman anatajwa ndie mfalme na nyota mpya ya muziki wa reggae kutoka Afrika,Jhikoman mwenye maskani yake Bagamoyo mkoani Pwani,Tanzania amepata bahati ya kukubalika na kupata mkataba na kutumbuiza katika maonyesho mengi barani ulaya.
(picha kwa niaba ya Afrika Festival Tubingen)
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments