Sent from my iPadMEHBU JAFFARY AENDELEA KUSOTA POLISI
JAFFARY (MWENYE SHATI JEKUNDU), RAIA WA INDIA, BADO ANAENDELEA KUSHUKILIWA NA JESHI LA POLISI KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM HADI HII LEO KWA TUHUMA ZA UTAPELI SH. MILION 30 .NA WATOA TAARIFA WANADAI HILI SIYO TUKIO LA KWANZA KWA JAFFARY KUTUHUMIWA NALO KWANI AMEKUWA AKITUHUMIWA KUWA AMEKUWA AKIWAHAHIDI WATU KUWALETEA MAGARI LAKINI HAWALETEI NA AKIKAMATWA ANAACHIWA KWA KILE KINACHIDAIWA KUWA ANAKINGIWA KIFUA NA BAADHI YA VIONGOZI.
SHERIA ICHUKUE MKONDO WAKE,WEMBE ULE ULE UNAOTUMIWA NA JESHI LA POLISI KUWANYOA WATUHUMIWA WENGINE WENYE TUHUMA KAMA ZA JAFFARY,BASI WEMBE HUO PIA UTUMIKE KUMNYOA JAFFARY.
BY Happiness Katabazi: Julai 17 Mwaka 2014.
0 Comments