[wanabidii] KIKAO CHA KAMATI KUU YA CHADEMA KIMEVUNJIKA MBEZI GARDEN HOTEL

Friday, July 18, 2014
Taarifa kutoka kikao cha Kamati kuu cha CDM ni kuwa kikao kimevunja saa saba mchana na baadhi ya wajumbe kurudi ofisi za makao makuu ya chama. 
Mwenyekiti na Katibu wamebaki eneo la tukio wajumbe wengine wamegoma kurudi Kwenye kikao.

Tulijaribu nje kuficha maovu ili tuyamalize ndani Kwenye vikao ila mwisho wakatuambia Kama vipi anzisheni chama chenu

Tulipokosoa maana yake si kama tulipinga ila tulitaka kuboresha zaidi,walio zielewa nia zetu walituelewa ambao hawakutelewa walituona kama adui

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments