Anakuja Mzungu anasema anahitaji Ngedere, ananunua mmoja kwa bei ya 20,000/=, basi wanakijiji wanahaha kusaka ngedere, wanawaleta Mzungu ananunua wote anasepa nao. Anarudi tena anasema vipi, naona wameadimika, sasa ntanunua kwa bei ya 35,000 ngedere mmoja, wanakijiji wanaenda deep zaidi msituni, kamata ngedere, leta kwa mzungu, mzungu anasepa nao. Afu wiki mnayofuatia Mzungu anasema bado anataka ngedere, saivi atanunua kwa Laki. Wanakijiji macho yamewatoka, hawana tena Ngedere. Mzungu anasema basi ntaftieni kwa Laki na Nusu. Keshoake inasikika kuwa kuna Mchagga anauza Ngedere kijiji cha pili, anauza kwa 100,000/=, wanakijiji wanawahi fasta wanaenda nunua Ngedere wote wa kijiji cha pili. Wanarudi kijijini hawana pesa ila wana ngedere wakijua watamuuzia mzungu fasta kwa laki na nusu, Mzungu hatokei Ng'oooo!!!! Infact, yule mzungu alikuwa anawakusanya tu na kuwahifadhi kule kijiji cha pili akijua ataja wauza kwa 100,000/= kwa hawa hawa wa kijiji hiki.
Mwenye macho na aone, mwenye masikio na asikie
AKILI KI MKICHWA
Bwana Mushi --
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
Share this :
0 Comments