Sasa zipo hizi chanel za cartoon kwa kweli watoto wanazipenda na ukitaka ugomvi na wanao waondoe kwenye hizo chenel.
Lakini hizi cartoon naona zimetengenezwa kukidhi mahitaji ya ulaya na asia, ukiondoa chache kama kirikou na tingatinga, je hatuwezi kutengeneza cartoon zinazoendana na mazingira ya kwetu? na zikawavutia watoto wetu kama wanavyovutika na cartoon za ben ten na tom and jerry? Je bongo muvi hawawezi kutengeneza filamu na cartoon zinazowalenga watoto wa kitanzania?
Kanumba aliwahi igiza filamu za ''the twin sisters'' na ''uncle JJ'' kwa namna fulani zilivutia wasichana lakini sio watoto wa miaka 5 na kushuka chini ambao wanavutiwa na cartoon za ''tom and jerry'' na ''ben ten''
----------
Sent from my Nokia phone
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments