[wanabidii] UJUMBE WA CLEMENT OGINGA KUHUSU UNIVERSITY OF LIVERPOOL NI WA KUPOTOSHA

Wednesday, May 28, 2014
UJUMBE WA CLEMENT OGINGA KUHUSU UNIVERSITY OF LIVERPOOL NI WA KUPOTOSHA 

Ndugu zangu ,

Dakika chache zilizopita nimepokea ujumbe kutoka kwa mtu aliyejitambulisha kama mwanasheria wa Chuo cha LiverPool .

Huyu jamaa alikuwa amelalamika kuhusu ujumbe ulitumwa mwaka 2013 na Clement Oginga kuhusu fursa kadhaa za chuo hicho .

Imekuja kugundulika ujumbe ule ulikuwa una walakini na baadhi ya watu walishausambaza kwenye mitandao ya kijamii .

Nilivyopata ujumbe kutoka kwa Mwanasheria wa Liverpool nilitafuta post hiyo nikagundua ilitumwa na Clement Oginga .

Huyu Clement Oginga aliwahi kuwa na mtafaruku yati yake , Faiza Hassan , Felix Mwema na Maurice Oduor .

Jamani tuwe makini na Jumbe za fursa mbalimbali zinazoingizwa kwenye mitandao hii , kama ni za masomo , biashara na chochote kile .


--

Yona Fares Maro

Institut d'études de sécurité - SA


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments