[wanabidii] hivi ukioa nini kinafuata jamani

Thursday, May 01, 2014
 nilikua naongea jana na mshkaji wangu mmoja anaeish mkoani huko, basi bana baada ya kuulizana hili na lile nikamwuliza kama kashamwoa rfk yake wa kike mmoja akanambia yes tena sasa wana mwaka wa 3 hivi ktk ndoa yao.
Swali la pili kama ilivyo desturi ni mna watoto wangapi, akacheka akasema bado hawajaamua kuzaaa, wako ktk ujenzi ndipo wazae labda kuanzia mwakani
Ah, nikaanza kuuliza kwanini, mikaambiwa na mshkaji ni mipango, ktk kumshauuri sana ikaonekana hapana lazima wamalize mipango yao ndio waamue kuzaaa, nikashtuka, nikajiuliza inakuaje
niambieni wataalam kupitia hii scenario jamaa yupo sahihi, ndivyo inavyotakikana jamani, watu wa saikolojia ya mapenzi na masuala ya saikolojia mnasemaje hapo bandugu
Naomba kuwasilisha kwa heshma na taadhima

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments