[wanabidii] Upuuzi wa Dr Kigwangalla

Saturday, April 12, 2014
Kwa masikitiko makubwa kabisa napenda niseme yafuatano

  • Niliamini Dr Kigwangalla ni moja ya wanasiasa vijana wenye mtazamo na dira safi kwa kizazi kijacho kutokana na usomi na kuongea kwa hoja zenye mashiko.

  • Mimi si mtu wa kuandika mara kwa mara, hadi nimeandika nikwamba nimeumia sana

  • Kumbe Dr huyu ni mtu ambaye hajaelimika, mshamba, limbukeni na asiye na maadili ya kiutu uzima kwa kingereza ni Hopeless.

  • Kusema yeye anajua statistics kwasababu ni Dr na wengine hawajui ni upuuzi uliopitiliza ningependa kujua hivyo vi Biostatistics vyako ni nani alikuelekeza

  • Kujipendekeza kwa Samweli Sitta wote ni ulimbukeni wakizamani sana na kuacha hoja za msingi na zenye mashiko

  • Wewe Dr hunijui, ingawa mimi nakujua, nakueleza na uchukue maneno haya, kwamba chip politics kama hizo hifiki mbali but you still have a chance to change

  • Umejizalilisha sana kama mtu usiye na chembe ya busara kama kiongozi au ambaye hujaona hata mlango wa Darasa na Tundu Lissu kaonyesha wewe ulivyo hopeless

Hope you will change

Cordially
Daniel

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments