[wanabidii] UKAWA MNATUMIWA BILA KUJIJUA AU KUNA AJENDA YA SIRI

Monday, April 21, 2014
UKAWA MNATUMIWA BILA KUJIJUA AU KUNA AJENDA YA SIRI
: Sultan Sayyid Jamshid bin Said yupo nyuma ya UKAWA na baadhi ya wanachama wa UKAWA kutoka Bara wameanza kushtukia kwamba wanatumika kiaina na Jussa na Maalim kutimiza ndoto zao za kumrejesha Zanzibar mwana Mfalme huyo wa Oman ambaye kwa sasa anaishi Uingereza tangu alipotimka Zanzibar 12 Januari, 1964. Miaka ya karibuni, wakati mchakato wa Katiba unanukia Maalim alifanya safari kadhaa nchini Uingereza ambapo alikutana mara kadhaa na Sultan (kwa msaada wa wanausalama wa nchi flani) ambapo Sultan alikubaliana na Maalim kuwezesha (kifedha na ushauri) mchakato mzima wa kuuvunja Muungano ili kuidhoofisha Zanzibar na kisha Oman itachukua hatamu ya kuipa kila kitu na kupitia hapo Sultan atatua ndani ili kuendelea kutawala na kubadirisha mifumo yote ya kiutawala na kuielekeza Zanzibar kwenye mfumo wa Arabuni. hiyo yote ni harakati za sultan ikiwa pamoja na misaada ya kifedha wanayopata ili kufanikisha azma yao
TANZANIA KWANZA UDUMU MUUNGANO NA WAASISI WAKE 
NAKUPENDA TANZANIA YANGU NA NAUKUBALI MUUNGAN

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments