[wanabidii] Taarifa ya TanRoads ya barabara mbadala wa ile iliyofungwa Bagamoyo

Thursday, April 03, 2014
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) anapenda kutoa taarifa kwa umma na watumia barabara ya Bagamoyo - Makofia - Msata kwamba barabara hii imefungwa kwa ajili ya usalama wa abiria na vyombo vya usafiri kutokana na mvua kubwa zinazonyesha nchini na kuleta mafuriko kwenye bonde la daraja la Ruvu Chini.

Madereva wanashauriwa kutumia barabara ya Dar es Salaam - Chalinze - Morogoro na Bagamoyo - Mlandizi - Chalinze kwa kipindi hiki ambacho barabra ya Bagamoyo - Makofia - Msata imefungwa.

Tunaomba rashi kwa usumbufu uliojitokeza na Asante kwa ushirikiano.

Imetolewa na:

Mtendaji Mkuu – Wakala wa Barabara
P.O. Box 11364,
3rd Floor, Airtel Building, 
Ali Hassan Mwinyi / Kawawa Roads Junction
Dar es Salaam.

--

Yona Fares Maro

Institut d'études de sécurité - SA


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments