Namshukuru Mungu kwa Ushindi wa CHALIZE kwa sauti zao kwa kuikata ccm,
Huu ni ushindi kwa Chadema na wala sio ccm,
Kwa ccm kujipongeza kwa ushindi wa kiti cha ubunge ni aibu kubwa kwao,
Kwanza kabla ya kushangilia ushindi huo wajiulize kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi wanachalize idadi yao ni ngapi?
Lazima wajiulize maswali haya ya msingi nguvu ya fedha dola vyote vilikuwa vikishindana na chama kimoja Chadema,
Ni ushindii kwa Chadama kushiriki katika kampeni hizo za chalize ,kwani tumeweza kukijenga chama zaidi kuwajenga vijana ambao ni asilimia 60% ya watanzania wote ambao ndio nguvu kazi ya taifa hili katika fikra za ukombozi,
Pia ninaamini wameelewa nini maana ya mabadiliko hivyo sina wasiwasi watajiandikisha daftari litakapo boreshwa.
CHAMA CHANGU CHADEMA MOYO TUNAO WA UKOMBOZI
Watu watajiuliza maswali mengi sana kwani chadema wasisusie kushiriki katika chaguzi hizi ndogo kwani sio kosa bali ni uzalendo,yote haya kushiriki kuto shiriki tungeweza kufanya;
Kutokushiriki kwa sababu zifuatazo.
1-Kutaka daftari liandikishwe upya ili kutoa haki kwa wale wote wenye sifa za kupiga kura,
2-Kuitaka tume ya taifa kuwa huru katika kufanya mambo yake;
3-Kukibana chama kinachotumia resimali za taifa katika kampeni zake mfano mawazi kutumia magari ya serekali;
4-Tunazo kila sababu ya kutoshiri kabisa lakini jukumu la ukombozi ni kutafuta usawa ambao watawala hawataki kutoa kwa walengwa;
Yako mengi hayo machache yanatosha kuonyesha kwamba ssm hakushinda,
KUSHIRIKI'
1-Kuwafikia wananchi na kuwaeleza sera
2-Kuwaeleza wananchi Umuhimu wa kulipenda na kulilinda taifa leo.
3-Kukijenga chama
4-Kuidhofisha na kuififisha kabisa chama tawala;
Hitimisho;
Kwa maelezo hayo hapo juu huwezi kusema chadema imeshindwa,
Huwezi kusema CCM imeshinda katika uchanguzi huku wakijuwa walibebwa,
Huku Raisi wa Zanzibar akitoa maagizo na kusema ushindi ni lazima;Kwa mazingira kama ya chalize yenye idadi kubwa ya watu kutokujuwa haki zao kura za CCM zilipatikana kwa vitisho vikubwa kwa wakazi ukizingatia huko ndio aliko raisi wa nchii,
WanaChalize kumbuke miaka 15 ya ubunge miaka ya 9 ya uraisi mnanini cha kujivunia katika jimbo lenu,
Maendelo katika jimbo lenu yanafana na resilimali mlizo nazo katika taifa?
Kama basi mmeridhika na kumpeleka mtoto shule akakue na wala sio kusoma basi endeleani na ccm,
Kama basi mmeridhika na kwenda kwa waganga wa kienyeji huku wezenu wakipata huduma za afya bora basi endeleani na ccm;
Kama basi mmeridhika na miundombinu ovyo basi endeleani na ccm
Kama basi mmeridhika na shule za nyasi basi endeleani na ccm,
Kama basi mmerishika na kunywa maji machafu basi endeleani na ssm
Kama basi mmeridhika na sukarii na Kanga na kofia na kikombe cha kahawa basi endeleani na ccm;
Ridhiwan Kikwete kama Mbunge waletee wanachalize maendeleo na sio ngoma,
Harakati hizi ni za kudai Haki Usawa na Uhuru wa Kweli hivyo kulalamika kupatiwa Usawa katika Chaguzi ni kosa kubwa sana,Tutafuta Haki kwa kila njia na hakika Tutashinda;
Ongera Chadema Ongera Chalize
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments