Wadau wa usafirishaji na biashara nchini wakizungumza na vyombo vya habari leo kuhusu kuanzishwa kwa mfumo wa "electronic Single Window System" eSWS ... utakaotumiwa na wadau wote wa Bandari Tanzania kuanzia June 2014 hii ni sehemu ya utekelezaji wa Big Results Now ,kutoka kushoto ni Ndg. Menye kutoka TCCIA, Ndg. igogo kiutoka TFFA na Mwenyekiti wa wadau wa bandari, Ndg. Magesa Mkurugenzi wa ICT- TPA na Meneja wa mradi wa eSWS ...!!!!
Mkataba wa utekelezaji wa mfumo wa electronic single window ukitiwa sahihi kati ya Mkurugenzi wa ICT - TPA Ndg. Phares Magesa kwa niaba ya wadau wa Bandari na Ndg. Stan De Smet Meneja Mkuu wa kampuni ya Phaeros ya Ubelgiji ambao ndio wakandarasi wa mradi huu.
Wadau wakuu wa mradi wakikumbatiana ikiwa ni ishara ya kuonyesha Umoja kwa niaba ya wadau wote wa Bandari , kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa wadau wa Bandari Ndg. Igogo , Mwakilishi wa sekta binafsi Ndg. Jumbe Menye toka TCCIA , Mkurugenzi wa ICT - TPA na Meneja wa mradi wa eSWS Ndg. Magesa, na Meneja Mkuu wa kampuni ya Phaeros Ndg. Stan inayotemgeneza mfumo wa eSWS.
Baada ya makubaliano ilikuwa ni muda wa kujipongeza wadau wote wa bandari....
0 Comments