[wanabidii] MAWAKALA WA CHADEMA NA CUF WAZICHAPA CHALINZE

Sunday, April 06, 2014
 kata ya Msata naona mawakala wa cuf wanazichapa kavukavu kwa kumtuhumu mmoja kati ya viongozi wa cuf wilaya ambaye ni wakala pia, mawakala wa cuf hapa Msata na Mbwewe wamegoma kuingia kwenye vituo vya kupigia kura mpaka walipwe pesa zao.
Kwa upande wa Chadema mawakala wao pia katika kata ya Msata na Mbwewe pia wamegoma kuingia kwenye vituo vya kupigia kura kwa madai kwamba hawajalipwa posho zao.polisi wameingilia kati huu ogomvi.
Kwa hali ilivyo mpaka sasa CCM itashinda kwa zaidi ya asilimia 90.
source mimi mwenyewe 0755178927

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments