Nimesema kutawala mazuzu ni raha na rahisi sana maana ukitaka jambo lako lifanyike unavyotaka wewe ni simple unawambia tuunde tume ya kuamua juu ya jambo fulani halafu kazi ya kuchagua wajumbe wa tume inakuwa ni yako wewe mwenyewe. Katika kuchagua kama wanatakiwa wajumbe kumi basi unahakikisha unaweka wajumbe saba wa upande wako unaoamini hawawezi kukuangusha ikifika wakati wa kufanya maamuzi unasema tupige kura tufuate demokrasia mazuzu wanakubali na matokeo utake usitake lazima yatakuwa saba dhidi ya watatu kisha unajigamba umeshinda kwenye boksi la kura kwa hiyo walio wengi wameamua na mazuzu yanakubali kuwa demokrasia imetumika we unapeta tu kiulaini na kufanya kila kitu kiende unavyotaka,hahahaha mazuzu bwana.
--Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments