[wanabidii] GOLD MOUNTAIN DAY CARE

Friday, April 11, 2014

Wandugu,
Kama unapenda kupata sehemu nzuri na salama ya kumuacha mtoto wako for the time upo kazini au shughuli zingine za kimaisha. Wakati mwingine ni vigumu house girls kuweza kuwalea watoto wetu ipasavyo kutokana na kutokuwa makini na watoto wadogo punde tunapokuwa kwenye shughuli zingine nje ya makazi yetu.
Tafadhari wasiliana nasi tutamlea mwanao kwa kadri inavyotakiwa.
Tafadhari angalia kiambatanisho kwa maelezo zaidi

 
M B Bagile
P O Box 1280 Dar es Salaam
Mobile: +255 688 93 22 07
+255 762 95 49 21

Share this :

Related Posts

0 Comments