[wanabidii] Boti aliyokuwa anasafiria Kinana yapotea Ziwa Tanganyika

Sunday, April 13, 2014

Boti alizokuwa anasafiria Ndg Kinana na msafara wake kutoka Kigoma kwenda Katavi hazijulikani zilipo mpaka sasa.
Ndg Kinana aliondoka Kigoma asub ya saa mbili leo akitarajiwa kuwasili Katavi saa kumi jioni, mpaka saa mbili na nusu usiku kulikuwa hakuna mawasiliano yeyote na haijulikani boti hizo mbili mali ya tanapa zimeishia wapi.

Aliondoka Kigoma akiwa ameambatana na Nape, Mkuu wa mkoa wa Kigoma, Balozi Ally Karume, Mwenyekiti wa Mkoa wa Kigoma( Kaburu), wasaidizi wao na kundi la waandishi wa habari.

Tunafuatilia kupata taarifa kamili. 
source: JF

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments