2015 Sio tu nitamchagua Lowasa lakini nita actively participate kwenye kampeni zake sababu:
1. Hakuna wakunishawishi kua upinzani una chembe hata ya kuongoza a multilateral company achilia mbali nchi ya Tanzania.
2. Lowasa ni mtu pekee ambae ataleta heshima kama sivyo basi hata nidhamu ya hofu katika kiti kiitwacho Uraisi wa Tanzani. Ukweli kabisa heshima ya ofisi ya uraisi ataipandisha maradufu kwa kuchukua maamuzi magumu na naamini Lowasa anauwezo wa kulifanya hilo. Hapa ni kumpa hii nafasi tuu ndio ukombozi wetu.
3. Nataka kuongozwa na mtu anaetumia akili kuongoza , Siyo watu wanaibuka tuu hata sifa hawana wanataka uraisi. Lowassa ni logical person ambao maamuzi yake yana sababu na sio kufwata nyota au kuridhisha kundi la watu na kuropoka ovyo ovyo , kukurupuka na maamuzi ya ajabu ajabu. Tunahitaji kiongozi anefikiria, kama atafikiria sahihi au la angalau tunajua KAFIKIRIA na ana sababu za kufanya maamuzi anayoyafanya.
4. Nataka kuongozwa na mtu anaye command heshima, kiongozi kwa maana ya kuongoza. Huyu ndio "Mzee wa maamuzi magumu".
5. Ninaamini kwa dhati kabisa huyu jamaa ataleta mabadiliko na nina amini his leadership philosophy and thoughts. Reasoning, Hardwork and Accountability. Sio propaganda, kusifiana uongo na mediocre intelligence with neanderthal reasonings.
Na akitangaza tu vijana hima faima tufanye maamuzi thabiti tunahitaji maendeleo na siyo bla bla.!
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments