Fw: [wanabidii] Upuuzi wa Dr Kigwangalla

Sunday, April 13, 2014
Hi !
Sawa kabisa uwasilishaji na maoni yako ,unajua mawazo ya wachache yanasaidia sana kutufungua wananchi wa kawaida unajua CCM wanasahau kuwa siku moja hawatakuwa watawala, hilo bunge siyo la CCM , endapo wakapitisha serikali 2 watakuwa ndio mwisho wao.Hakuna mjinga ambaye hapendi muungano bali watu tunahitaji Muungano wa kweli na wenye sifa zinazokubalika , siyo nchi nyingine ndiyo inaiitwa serikali ya muungano, tunataka Muungano uwe kwa manufaa ya wananchi na siyo watawala. Mbona hawasemei  ufisadi katika chama chao ,ujamaa wameutupa kila mtu anataka kuwa kiongozi , kama wanamuenzi Nyerere mbona sasa hivi serikali ni kubwa na wanaongeza mikoa pasipo kuwashirikisha wananchi ambao ndio wanalipia gharama za uendeshaji serikali. Leo halmashauri zimekuwa kichaka cha kuchukua hela ya wananchi kupitia kile wanachoiita ruzuku .Watumishi wa umma leo hii wanajenga majumba na kuwa na mali kwa mashindano lakini enzi  za Mwl. Nyerere nani angelithubutu. Naamini ukitawala kwa dhuluma siku moja Mungu atakufichua.Huyo Dr.HK ni wa karatasi tu wala hana maana hata kwa mtu wa kawaida anafanana  na akina professor shivji, mwakyembe n.k
On Sunday, April 13, 2014 11:14 AM, Ngupula GW <ngupula@yahoo.co.uk> wrote:
Kwa mtu yeyote makini haimui vigumu kumjua huyu Dr kama internal values zozote za manufaa kwa nchi hii ni mtu tu mjanja anayejitahid kutumia fursa zinazopatikana kwa manufaa yake..anyway .that is life too..but waangalia upepo they confuse him as a noble guy...that is sad...ngupula

mngonge <mngonge@gmail.com> wrote:

Njaa ni kitu kibaya sana wapo wengi wa aina yake ambao wanapenda kufuata mkumbo ili uchaguzi ujao wasiachwe kwenye ubunge.

2014-04-12 17:27 GMT+03:00 Daniel Stephen <danielstephen688@gmail.com>:
Kwa masikitiko makubwa kabisa napenda niseme yafuatano

  • Niliamini Dr Kigwangalla ni moja ya wanasiasa vijana wenye mtazamo na dira safi kwa kizazi kijacho kutokana na usomi na kuongea kwa hoja zenye mashiko.

  • Mimi si mtu wa kuandika mara kwa mara, hadi nimeandika nikwamba nimeumia sana

  • Kumbe Dr huyu ni mtu ambaye hajaelimika, mshamba, limbukeni na asiye na maadili ya kiutu uzima kwa kingereza ni Hopeless.

  • Kusema yeye anajua statistics kwasababu ni Dr na wengine hawajui ni upuuzi uliopitiliza ningependa kujua hivyo vi Biostatistics vyako ni nani alikuelekeza

  • Kujipendekeza kwa Samweli Sitta wote ni ulimbukeni wakizamani sana na kuacha hoja za msingi na zenye mashiko

  • Wewe Dr hunijui, ingawa mimi nakujua, nakueleza na uchukue maneno haya, kwamba chip politics kama hizo hifiki mbali but you still have a chance to change

  • Umejizalilisha sana kama mtu usiye na chembe ya busara kama kiongozi au ambaye hujaona hata mlango wa Darasa na Tundu Lissu kaonyesha wewe ulivyo hopeless

Hope you will change

Cordially
Daniel

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments