THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL
COMMUNICATIONS
TANGAZO LA SERIKALI KUHUSU KUVUNJWA KWA
TUME YA
MABADILIKO YA KATIBA
Mhe. Rais aliunda Tume ya Mabadiliko ya Katika
kwa mujibu wa kifungu cha 5 na 6 cha Sheria
ya Mabadiliko ya Katiba, Sura ya 83 kwa
Tangazo la Serikali Na.110 la Mwaka 2012.
Tume ilikusanya maoni na kuandaa Rasimu ya
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
ambayo imewasilishwa kwenye Bunge Maalum.
Kwa mujibu wa kifungu cha 31 cha Sheria ya
Mabadiliko ya Katiba, Sura ya 3,
Rais amepewa
mamlaka ya kuvunja Tume ya Mabadiliko ya
Katiba baada ya Rasimu ya Katiba kuwasilishwa
Bungeni.
Mnamo tarehe 18 Machi, 2014 Mwenyekiti wa
Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Sinde
Warioba aliwasilisha Rasimu ya Katiba kwenye
Bunge Maalum. Kutokana na hatua hiyo, na kwa
mujibu wa kifungu cha 31 cha Sheria ya
Mabadiliko ya Katiba, Rais wa Jamhuri ya
Muungano alivunja rasmi Tume ya Mabadiliko
ya Katiba tarehe 19 Machi,2014 kwa Tangazo la
Serikali Na.81 la tarehe 21 Machi, 2014.
Hivyo kwa Tangazo hilo, shughuli zote za Tume
ya Mabadiliko ya Katiba zimemalizika rasmi
tarehe 19 Machi, 2014.
Imetolewa na;
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu,
Dar es Salaam.
25 Machi,2014
--
Yona Fares Maro
-- DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL

Institut d'études de sécurité - SA
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments