[wanabidii] Taarifa kwa watumiaji wa Zantel

Tuesday, March 11, 2014
Kufuatia huduma zilizo chini ya kiwango, uchukuliwaji wa fedha za wateja pamoja na malalamiko mengine, wateja (watumiaji) wote wa Zantel waliokumbwa na tatizo lolote la kuchukuliwa fedha zao kinyume na huduma walizostahiki kupata munaomba munawasiliane na Bw Ahmed kupitia namba ya simu 0779 790 750.

Lengo la mawasiliano haya ni kupata orodha na samples ya kesi wateja wa Zantel wanazokabili. Pia itatowa fursa ya kuchemsha bongo pamoja na kuandaa mikakati ya kupeleka madai yao kunakohusika.

Shime kila aliyekumbwa na kadhia ya Zantel asikae kimya, itumiwe nafasi hii kuonyesha mapungufu wa makampuni kama haya kujilimbikiazia faida kupitia mgongo wa wananchi wanyonge.

Wasiliana na Bw Ahmed 0779 790 750

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments