[wanabidii] shell urgently needed Dar/Pwani

Monday, March 24, 2014
Ndg zangu salamaaa.
sasa naombeni sana mwenye kuweza kutumia fursa hii aitumie haraka kabla haijayeyuka, ni fursa adimu sana......nimepata tender pale ofsn kusearch sheli ya kuuza mikoa ya Pwani/Dar.....bei ya kuuzwa isizid usd mil 2au 2.5.....tunahitaji sheli 10 kutoka mikoa 2 ya Pwani/Dar es salaam
Nitaleta taarifa za  properties zilizowasilishwa tuuze kuanzia j5
wasalaam
Mollel
REPM

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments