[wanabidii] MTOTO UMLEAVYO NDIVYO AKUAVYO....

Thursday, March 13, 2014
Mzazi ukiridhika na mienendo ya mwanao mbele ya macho ya watu, basi ujue ndivyo upendavyo na ni staili ya maisha uliyomchagulia mwanao kuishi leo na kesho. Mtoto huyu anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 5 hadi 6, akifanya yasiyotarajiwa na wengi waliokuwa wakimshuhudia kwenye viwanja vya Leaders Club Kinondoni, wakati akijinyonganyonga mauno kuendana na miondoko ya bendi ya Twanga Pepeta wakati ikitoa burudani.  

Kulingana na umri wa mtoto huyu wengi hawakutarajia kuona yale aliyokuwa akiyafanya na kuwashangaza wengi huku mama yake (kulia anayeonekana nusu) akifurahia na kumpigia makofi kumshangilia. Je kwa starehe hizi na 'mafyongo haya' mtoto huyu atasoma kweli???? na je mzazi ukimkuta nafanya yasiyostahili ukiwa wewe haupo utamuadhibu ama utamchekea.....

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments