[wanabidii] Waziri Membe kuzungumza na waandishi wa habar leo mchna

Thursday, February 20, 2014
Habar zilizonifikia hiv punde nikuwa wazir wa mambo ya nje mh Bernard Membe atakuwa na press conference mchana wa leo,habari hazijaweka waz anachokwenda kukizungumzia lakin kuna habar amabzo ciyo rasmi anakwenda kuzungumzia onyo la barua alilopewa.binafs ciamini kama ataonekana kuwa kinyume na kamati sana sana ataisifikia kamati kwa kaz nzuri na kumsifia mkuu wa nchi,lakin habar zimekwenda mbali zaidi na kusema membe kupewa barua ni kama kuwafumba watu macho na mkakati uliopo ndio muda muafaka wa yeye kupita kwa siri kubwa sna ili waone upepo wake kisiasa unavyokwenda,tusubir labd anakwenda kuzungumzia usiano wetu na rwanda angalie kma atapata point kuelekea 2015.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Share this :

Related Posts

0 Comments