[wanabidii] Semina ya ujasiriamali kwa wastaafu na wastaafu watarajiwa.

Monday, February 17, 2014


CPM Business Consultants tutandesha semina ya ujasiriamali kwa wastaafu au wafanyakazi walio kazini ambao wanapenda kujiandaa kustaafu, kwa kiingilio cha sh. 20,000 kwa kila mshiriki, Semina hiyo itaendeshwa kwenye ofisi yetu Sinza kwa Remi, siku ya Jumamosi tarehe 22/2/2014 kuanzia saa 4.00 asubuhi mpaka saa 7.00. Mwezeshaji ni Charles Nazi Mshauri wa biashara na Mtunzi wa kitabu cha mbinu za biashara, Mada zitakazofundishwa ni kama ifuatavyo;

1.Sababu za kuwapa mafunzo ya ujasiriamali wastaafu au wastaafu watarajiwa
2. Mambo ambayo wastaafu wanatakiwa kuyafanya baada ya kustaafu.
3. Ujasiriamali na uendeshaji wa biashara
4.Namna ya kuanzisha na kuendesha vitegauchumi kwa mafanikio.
5. Nafasi ya umri na uzoefu katika kuendesha miradi.
6. Maswali na majibu.

Kwa wale ambao watahitaji kuhudhuria naomba wathibitishe kwa kupiga simu namba 0755394701

CHARLES NAZI
MKURUGENZI CPMBUSINESS CONSULTATS
http://cpmbusinessconsult.wordpress.com/

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Share this :

Related Posts

0 Comments