[Mabadiliko] List of names - acheni kutukana Serikali, kuna siku mtaumbuka!

Monday, February 10, 2014
Kumbe majina yetu huwa yanahifadhiwa kwenye mitandao?
Angalia jina lako hapa http://www.listofnames.info/

Je jina lako lipo kwenye kurasa zingine?

Jamani mnaochangia humu kwa kukashifu watu, kutusi watu matusi ya nguoni, au kutusi SERIKALI, kama mambo ndiyo haya, kuna siku mtakiona cha moto!!!!!!!

Nawasilisha!

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
MUHIMU KWA WANACHAMA WOTE: Jukwaa hili litafungwa hivi karibuni hivyo hii ni taarifa ya Mwisho kwako kuhakikisha unajisajili www.mabadiliko.com
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Share this :

Related Posts

Previous
Next Post »
0 Comments