[wanabidii] Sikurudisha fomu kwa kuwa CHADEMA imepoteza mwelekeo

Monday, January 20, 2014
Hatmaye aliyekuwa mgombea udiwani katika kata ya Mtae kwa tiketi ya CHADEMA Ally Jaha ambye hakurudisha fomu siku ya mwisho na kupelekea CCM kupita bila kupingwa,Amesema kuwa hakutekwa bali alikuwa na matatizo ya kifamilia nakuwa hakurejesha fomu baada yakushauriwa na ndugu zake kuwa asigombee kupitia CHADEMA kwa kuwa kimepoteza mwelekeo kutokana na mgogoro uliopo.
Source Mwananchi la leo Jumatatu.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Share this :

Related Posts

0 Comments