KUNA wakati hata huelewi. Na inapotokea hivyo huwezi kulaumu mtu. CAG ametoka wiki iliyopita akasema kuna shida serikalini, serikali ikae, itazame shida zake, serikali haina fedha.
Kisha waziri mwenye dhamana ya kuitafutia serikali mapato na kuipangia matumizi akasema ni kweli kuna shida serikalini.
haya ukiwauliza watu wanasema chini kwa chini serikali imefilisika.
Hivi ni kweli serikali imefilisika? Ni swali la msingi kabisa.
Serikali imefilisika, nini dalili za kufilisika kwa serikali? CAG anazungumza na Waziri anakiri. Kuna kitu si sawasawa kabisa.
Kingine kinacholeta misukosuko ya akili nini? Ni kuzidi kuchanua kwa majumba ya gharama kubwa yanayojengwa bila

mkopo na wafanyakazi ambao wengi wao wanadhamana ya kuhakikisha serikali ina fedha na fedha zinazatumika inavyotakiwa.
Sijui Takukuru wanajua lipi kati ya mambo ambayo ynaweza kufanya serikali isiwe hela! yaani kama kuna fedha chafu nyingi mitaani ni dhahiri kwamba serikali haitakuwa na fedha na kwa kasi ya mihadarati hapoa nchini ni dhahiri kwamba serikali haitakuwa na fedha.
Ahh mimi nafikiri tu, lakini pia inapotokea kwamba serikali haiwezi kutuma mawaziri wake na watendaji wengine katika maeneo muhimu basi ujuwe kwamba kuna shida kubwa, link inatoweka taratibu.
Naam Link inatoweka taratibu lakini kama si vyema sana lakini hebu tumtazame Tulwai Sumaye alisema nini wakati wa mabadiliko ya uwasilishaji wa bajeti. Alisema kwamba italeta shida kwa kuwa bajeti kuu inatamkwa mwishoni.
naam wametengeneza fedha zinatoka wapi wakadai fedha zaidi , serikali ikaahidi kupata fedha zaidi, vyanzo vikafa na sasa tunakwenda kwa staili ya nini kama si kimgongo mgongo na mazoea.
Ninafikiria tu hivi ni kweli serikali imefilisika?
Unapokuwa umemaliza kuzungumza kiseketa ndio unakuja na bajeti kwa kuwa makubalianio na walipaji kodi wakubwa yameshafanyika.
Lakini unapokuwa unafanya unavyotaka kwa kuwa unataka kuwapendezesha wabunge wote ndio linakuja kama lile la kilimo kutawanya nguvu kila mkoa na kushindwa kufulfil wazo la mradi la kukusanya nguvu na kuona matokeo makubwa, unatawanya nguvu.
hivi ni kweli hesabu za serikali haziko sawa?
na kama kweli haziko sawa walahi tutakoma. manake kuna rasimu ya katiba mpya, kuna cuhaguzi wa serikali za mitaa na lazima kujiandaa kwa uchaguzik mkuu. Hilo nalo neno!
Zipo ahadi za Rais kabla ya kumalizika 2015 na nyingi zimejikita kufungua nchi kw anjia ya barabara kuna ahadi ya kuirejesha reli katika matumizi ya kawaida na mbaya zaidi kuna kauli za kuendelea kubomoa barabara za tanzania kwa kuruhusu migari mikubw aya tani nyingi kuendelea kufumua barabara hizi.
Fedha za ujenzi zipo wapi?
Serikali yenye kujaa rushwa mwalimu Nyerere alisema, hushindwa kukusanya kodi.
Inakuaje hili?
Inakuwaje serikali ikawa na mushkeri na mapato na kisha ikafanya vurugu kwenye matumizi?
Je ni kweli kuwa OC hazipo katika mikoa?
Ndio maana kuna maswali mengi sana, shida ipo wapi hasa!
Kuna taasisi hapa nchini ambazo zinastahili kusaidia serikali lakini zenyewe zipo kugeresha tu na kuwahsughulikia watu wadogo wasiokuwa na maana. Inabidi mtu kama lukwangule kuamini kwamba serikali iliyojaa rushwa itashindwa kukusanya fedha na itashindwa kutekeleza ahadi zake.
inafaa mtu akatoa mawazo lukuki namna ya kurejesha uwezo wa serikali, hakuna mtanzania wa kawaida anayetaka kusikia kwamba serikali ina mushkeri katika makusanyo na matumizi na hasa anapopokea taarifa kutoka kwa CAG kisha ikathibitishwa na mkusanyaji mkuu, Waziri anayehsughulika na hazina ya taifa.
Nawatakia siku njema

http://lukwangule.blogspot.com/2014/01/my-reflectionshaingii-akilini-kufikiria.html
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments