Watu bwana. Kila mji unaokwenda hawakosi chakukuagiza.Kama waenda Mbeya utasikia, "Tuleteemaparachichi na mchele."Ukienda Moshi unaagizwa, "Usisahau kutuleteakahawa."Uendapo Dodoma utasikia, "Utuletee zabibu nakaranga."Ukienda Tabora wapo tu, "Pliiiiz utununulie asalihuko."Ukienda Morogoro wanaagiza, "Tuletee magimbibasi."Kama waenda Bagamoyo waagizwa, "Mananasiya kule matamu usisahau kutuletea."Unapokwenda Tanga utasikia, "Tuleteemachungwa jamani!"Kama ni safari ya Songea, "Usisahau viazi vyaSongea."Unapokwenda Mtwara unaagizwa, "Tuleteekorosho unaporudi."Unapokwenda Kigoma, "Jamani rudi na mafutaya mawese na migebuka."Ukisema safari inaishia Singida wana wewe tu,"Basi utuletee mafuta ya alizeti."Ukiwaambia unakwenda Mwanza wanaagiza,"Utuletee samaki sana sana Sato."Kama waenda Bukoba hawachoki tu, "Tafadhaliutuletee senene!"Kasheshe sasa kama safari yako inaishia Iringa/ Njombe.Utasikia sasa, "Niletee mdada wa kazi jamani!"
-- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments