Kijiji cha Migua wilayani Nzega barabara ya mwanza dodoma imefungwa tangu saa tatu ucku kuamkia leo baada ya majambazi kuteka magari na kujeruhi watu. Madereva wa maroli wameziba barabara kushinikiza jeshi la polisi na serikali kutoa maelezo na kuchukua hatua. Taarifa zinasema polisi waligika eneo la tukio na kuwagwaya majambazi waliokuwa wamejificha kichakani wkt huo. Magari zaidi ya mia moja yamekwama pande zote. Hakuna polisi wala jeshi kudhibiti usalama. Yakirudi majambazi muda huu yataendelea kufanya watakavyo
-- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments