wapendwa asanteni sana nimepata vijana wa market wa kutosha kwa ajira ya jarida langu la ISHARA(symptoms) la profession health litakaloanza kutoka mwishoni mwa mwezi huu.
Sasa nahitaji watu wafuatao, mtaalam alebobea ktk masuala ya kisaikolojia esp ya watoto atuandikie masuala yanayohusiana na saikolojia ya watoto....
sifa: Degree ya sociology na mwenye uzoefu wa kuandikia masuala hayo na kushaur
ni kazi ya kucontibute si ajira
pia nahitaji daktari anaeweza kuandika vizuri magonjwa mbali mbali
sifa: kuanzia clinical assistant hadi medical officer
si ajira anacontribute
wote wanipigie kwa maongezi zaidi
call 0652 314181 mollel
0 Comments