Hongera kwa mchango mkubwa unaotoa katika mjadala wa Katiba. Hatima ya
vizazi vyetu na nchi yetu inategemea sana mfumo wa uongozi chini ya
Katiba.
Mahali popote, wananchi hufika mahali wakauchoka uongozi, hata kama
matatizo yaliyopo hayatokani na uongozi ule. Katika dunia ya sasa na
kesho, wananchi wakiona hawawezi kubadili uongozi kwa njia ya kura,
wanabomoa. Kuwapa wananchi nafasi ya kubadili uongozi kwa njia halali na
ya amani ni jambo ambalo sote, bila kujali itikadi zetu - tunatakiwa
kulitafuta kwa kupitia katiba.
Hii si kazi ya kuwaachia walioko kwenye upinzani leo! Wako watu wanasema,
wapinzani tulio nao wenyewe wana maana basi? (Hata wakoloni walisema,
wapigania uhuru wenyewe ndio hao?). Katika mjadala wa katiba, tusiangalie
upinzani kama fulani na fulani. Tuiangalie kama sehemu muhimu ya mfumo
ambapo Mtanzania yeyote, hata Waziri Mkuu wa sasa, anaweza akaja kujikuta
humo. Jukumu la kuweka mazingira mazuri ya kujengeka upinzani imara si la
upinzani peke yake. Ni letu wote.
Katika mjadala wa katiba kuna watu wanaangalia karibu sana
- maslahi yao ya sasa na jinsi ya kuhakikisha chama hakitoki madarakani.
Ajabu katika hawa, wako wanataaluma wenzetu wengi.
Nimeshangaa kwa nini TPN imekuwa kimya kabisa siku hizi?
% ---------- Forwarded message ----------
% From: Rosemary Mwakitwange <rosemarymwakitwange@gmail.com>
% Date: Sat, Nov 9, 2013 at 8:50 AM
% Subject:
% To: Gaston Kikuwi <kikuwigg@gmail.com>
%
%
% [image: Inline image 1]
%
% --
% Rosemary Mwakitwange
% *B.com (hons), MBA *
% *Executive Chair*
% East Africa Business & Media Training Institute
% *P.O Box*: 5659
% Dar Es Salaam, Tanzania
% *Tel: *+255 222 602408
% *Cel:*+255 717 190 856/755 019 284
% *website*: www.eabmti.co.tz
%
%
%
% --
% Rosemary Mwakitwange
% *B.com (hons), MBA *
% *Executive Chair*
% East Africa Business & Media Training Institute
% *P.O Box*: 5659
% Dar Es Salaam, Tanzania
% *Tel: *+255 222 602408
% *Cel:*+255 717 190 856/755 019 284
% *website*: www.eabmti.co.tz
%
--
"Give your energy to things that give you energy.",
"Learn enough to begin and then learn as you go."
Dr. Donath R.Olomi
Chief Executive Officer
Institute of Management and Entrepreneurship Development (IMED)
Mwalimu House 7th Floor, Ilala
P.O. Box 35036 Dar es Salaam, Tanzania E-mail: info@imedtz.org, website:
www.imedtz.org
Mobile +255-754-296660
Publications available on the Internet
http://www.repoa.or.tz/documents/RR_12-2.pdf
http://www.businessenvironment.org/dyn/be/docs/31/BETanzania02.pdf
http://www.tanzaniagateway.org/docs/EnhancingSMEcontributiontoempandpovertyreduction.pdf
http://econpapers.repec.org/article/wsijecxxx/v_3a17_3ay_3a2009_3ai_3a01_3ap_3a103-125.htm
http://www.fek.umu.se/forskning/pub/Business.Studies/babsonpaperversion.pdf
http://www.sbaer.uca.edu/research/icsb/2011/763.pdf
http://fusionmx.babson.edu/entrep/fer/babson2001/I/I-R/I-R/i-r.htm
http://www.theigc.org/sites/default/files/EnterpriseMapofTanzania.pdf
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments