[wanabidii] KITILA MKUMBO AUKASHIFU MSAHAFU

Monday, November 11, 2013
NIMEKASIRISHWA SANA NA UFAFANUZI WA KITILA MKUMBO, KWAKUUKASHIFU UISLAMU KWA KUTILIA MFANO KUWA WATU WAZIMEZESHWE MANENO KAMA MSAHAFU, YAANI HASIRA ZAKE AMEONA AZIMALIZIE KWENYE QURUAN SI PENGINE, KWELI HUYU JAMAA ANACHUKI NA UISLAMU, MKUMBO ACHA CHUKI NA UISLAMU NA HUO UFAFANUZI

iv) Ni vizuri tukajenga utamaduni wa kuhoji mambo badala ya kuyameza kana kwamba tunasoma msaafu. Hivi huyo mtu anayemhonga Zitto bilioni mbili (2,000,000,000) ili atoe siri za chama, ni siri gani hizo ambacho chama cha siasa kinazo ambazo ni za hatari hata itolewe hongo kama hiyo? 

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Share this :

Related Posts

0 Comments